Imewekwa tarehe: September 5th, 2022
Na. Josephina Kayugwa, DODOMA
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amezindua kampeni ya usalimishaji wa silaha haramu yenye lengo la kukusanya silaha zote ambazo zinamilikiwa kiny...
Imewekwa tarehe: September 4th, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakandarasi wa ujenzi wa mradi wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma kuongeza kasi ili mradi huo uweze kukamilika kwa wakati na kwa viwango.
...
Imewekwa tarehe: August 29th, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania imewasilisha miradi minane yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.334 katika Mkutano wa Nane wa Kimataifa wa Wakuu wa Nchi na Serikali una...