Imewekwa tarehe: November 10th, 2019
Serikali kupitia Wizara ya Afya imefanikiwa kupunguza maambukizi ya malaria kwa takribani asilimia 50% kutoka 14.8% mwaka 2015 mpaka kufikia 7.3% mwaka 2017.
Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Afya, ...
Imewekwa tarehe: November 9th, 2019
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imefanikiwa kuwaburuza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo katika mchezo wa kuvuta kamba wanaume.
Katika mchezo huo ulioshuhudi...
Imewekwa tarehe: November 9th, 2019
JAMII imeshauriwa kufanya mazoezi mbalimbali ya mwili ili kuepuka kuugua magonjwa yasiyo ya kuambukiza na gharama kubwa za matibabu.
Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa n...