Imewekwa tarehe: June 26th, 2021
MKUU mpya wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remedius Emmanuel ameapishwa rasmi mwanzoni mwa juma hili Jijini Dodoma na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka ili kuanza kuiongoza Wilaya hiyo iliyo miongoni ...
Imewekwa tarehe: June 25th, 2021
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
WAKUU wa Wilaya za Mkoa wa Dodoma wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi na uzalendo hali wakitambua kuwa ni wasaidizi wa Rais katika wilaya zao.
Kauli hiyo ilit...
Imewekwa tarehe: June 24th, 2021
Na Noelina Kimolo, DODOMA
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeushukuru Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa msaada wa vifaa tiba katika kitengo cha akina mama wajawazito na kite...