Imewekwa tarehe: August 2nd, 2018
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Dodoma Mjini ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma Godwin Kunambi jana ametangaza mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake kuwa, amepokea barua ...
Imewekwa tarehe: August 2nd, 2018
Aliyekuwa Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma Mhe. Jumanne Ngede amefanikiwa kutetea kiti hicho katika uchaguzi wa uliofanyika Agosti Mosi, 2018 katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Jijini humo.
...
Imewekwa tarehe: August 1st, 2018
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Magufuli amelitaja Jiji la Dodoma kuwa ndiyo Halmashauri inayoongoza Nchini kwa ukusanyaji wa kodi kutoka katika vyanzo mbalimbali vya ndani vilivyopo...