Imewekwa tarehe: August 21st, 2019
Uongozi wa timu ya mpira wa miguu ya Dodoma FC inayomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma, umeshauriwa kutumia vyombo vya habari kuitangaza timu hiyo na kuhamasisha wananchi kuiunga mkono.
...
Imewekwa tarehe: August 20th, 2019
JIJI la Dodoma na vitongoji vyake, hivi karibuni litabadilika mwonekano wake na kuwa la viwango vya kimataifa baada ya Benki ya Maendeleo ya Afrika, AfDB kuipatia Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ...
Imewekwa tarehe: August 18th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza uamuzi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kuwa lugha y...