Imewekwa tarehe: July 24th, 2020
Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Benjamin William Mkapa amefariki dunia Jijini Dar es Salaam katika Hospitali alipokuwa akipatiwa matibabu.
Habari za kifo chake zimeta...
Imewekwa tarehe: July 23rd, 2020
Wakazi wa maeneo tofauti ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma, wamezungumzia hali ya usafi katika Jiji hilo huku wakipongeza jitihada kubwa zinazofanywa na Halmashauri ya Jiji katika uboreshaji wa hali ya...