Imewekwa tarehe: October 24th, 2019
Jiji la Asili ni mradi unaolenga kuonyesha uthamani wa uoto wa asili mjini. Mradi huu unahusisha mikoa minne (4) nchini Tanzania ambayo ni Dar es salaam , Arusha , Kilimanjaro na Dodoma. Mikoa h...
Imewekwa tarehe: October 23rd, 2019
SHIRIKA la Nyumba nchini (NHC) linakusudia kujenga nyumba 1,000 mkoani Dodoma za kuuza na kupangisha kwa lengo la kutumia fursa ya Serikali kuhamia mkoani hapo.
Akizungumza jana, Mkurugenzi Mkuu wa...
Imewekwa tarehe: October 22nd, 2019
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeendelea kuwa kinara wa ukusanyaji mapato na kuongoza Halmashauri zote nchini kwa kukusanya zaidi pato ghafi kiasi cha Sh Bilioni 13.1 kutoka katika vyanzo vya makusany...