Imewekwa tarehe: February 17th, 2025
Na. Mussa Richard, DODOMA
Klabu ya Soka ya Dodoma Jiji FC, imeichakaza Klabu ya Soka ya Fountain Gate FC, kwa kuichapa bao Moja kwa nunge katika mchezo wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara, mchezo ulio...
Imewekwa tarehe: February 16th, 2025
Na. Mussa Richard, DODOMA
Klabu ya Soka ya Dodoma Jiji FC, imejiandaa kuwakabili Klabu ya soka ya Tanzania Prisons katika muendelezo wa mbilinge mbilinge za duru ya pili ya Ligi kuu ya NBC Tanzania...
Imewekwa tarehe: February 15th, 2025
Na. Halima Majidi, DODOMA
Wananchi wa Kata ya Makutupora, jijini Dodoma, wameeleza kilio chao juu ya changamoto kubwa zinazowakabili, zikiwemo ukosefu wa maji safi, matatizo ya umeme, pamoja na shu...