Imewekwa tarehe: March 10th, 2025
Na. Mussa Richard, DODOMA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, ametoa wito kwa wananchi jijini Dodoma kutumia nishati safi ya kupikia ili kutunza mazingira na kulinda afya za wananchi ...
Imewekwa tarehe: March 9th, 2025
Na. Faraja Mbise, DODOMA
Wanawake watakiwa kujitathmini katika nyanja za uongozi kwa kuonesha nia ya kuwajibika ipasavyo na kuchangamkia fursa za uongozi zinazojitokeza katika jamii.
Kauli hiyo ...
Imewekwa tarehe: March 8th, 2025
Na. Nancy Kivuyo, DODOMA
Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kupitia Divisheni ya Maendeleo ya Jamii, walitoa mafunzo kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari Viwandani na Kikuyu ikiwa ni shamrashamra...