Imewekwa tarehe: June 10th, 2019
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amezitaka halmashauri za majiji na miji nchini kuhakikisha kuwa zinatenga maeneo ya michezo na burudani kila zinapopima viwanja.
...
Imewekwa tarehe: June 7th, 2019
SERIKALI mkoani Dodoma imepiga marufuku watu kuingiza mifugo kwenye chanzo cha maji Bonde la Mzakwe na atakayebainika kuingiza mifugo hiyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Kauli hiy...
Imewekwa tarehe: June 6th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza Watanzania (wakiwemo wananchi wa Jiji la Dodoma) kwa kuitikia wito wa Serikali wa kuacha kutumia mifuko ya plastiki ...