Imewekwa tarehe: April 25th, 2020
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeongoza ukusanyaji wa mapato ya ndani katika kipindi cha miezi tisa kwa kukusanya shilingi bilioni 36.04.
Akitoa taarifa ya mapato na matumizi ya Halmashauri, Waziri...
Imewekwa tarehe: April 24th, 2020
Wagonjwa 37 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona (COVID-19) wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya vipimo vya mwisho kuthibitisha kwamba hawana maambukizi ya COVID-19.
Hayo yamesemwa...
Imewekwa tarehe: April 16th, 2020
HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imezindua mfumo rasmi kwa njia ya mtandao ambao utatumika kila mwananchi kujaza fomu ya maombi ya kupata kibanda cha biashara katika miradi ya soko kuu la Job Nduga...