Imewekwa tarehe: April 2nd, 2025
Na. Nancy Kivuyo, IPALA
Hamasa ya serikali katika michezo nchini ni kichocheo cha wananchi wa Kata ya Ipala kupenda kushiriki michezo ya aina mbalimbali kwa ajili ya kujenga na kuboresha afya zao i...
Imewekwa tarehe: April 1st, 2025
Na. Nancy Kivuyo, IPALA
Mradi wa ujenzi wa nyumba ya mtumishi katika Zahanati ya Ipala uliogharimu kiasi cha shilingi 55,000,000, umeleta maboresho katika utoaji wa huduma ya afya katika kata hiyo....
Imewekwa tarehe: March 31st, 2025
Na. Mwandishi Wetu, DODOMA
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameagiza miradi mikubwa na ya kati ya Madini ambayo tayari imekwishapewa leseni kuanza utekelezaji wake mara moja ili kuchochea ukuaji ...