Imewekwa tarehe: July 6th, 2021
Na Noelina Kimolo, DODOMA
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeishukuru benki ya Exim kwa msaada wa wadawati 50 yaliyotolewa na benki hiyo kama mdau wa elimu kwa lengo kuboresha miundombinu na mazingir...
Imewekwa tarehe: July 6th, 2021
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imedhamiria kuliongeza zao la zabibu kuwa miongoni mwa mazao ya kimkakati ili kungeza thamani zao hilo na kuongeza tija kwa wakulima.
...
Imewekwa tarehe: July 6th, 2021
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amewaagiza viongozi wa serikali kuanzia mamlaka za chini kutokuwa kikwazo kwa wafanyabiashara ndogo ndogo jijini humo badala yake wawe sehemu ya kuwawezesha kukua...