Imewekwa tarehe: March 7th, 2020
WANAWAKE waliofungwa katika gereza la Isanga wana mahitaji kama wanawake wengine katika jamii na kustahili upendo na kuthaminiwa ili wafurahie maisha wawapo gerezani na watakapotoka nje ya gereza.
...
Imewekwa tarehe: March 7th, 2020
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Dkt. Zainab Chaula amewataka watumishi na uongozi wa Hospital ya Mirembe kuhakikisha wanatembea pamoja kwa kudumisha ushirikiano...
Imewekwa tarehe: March 7th, 2020
KAMATI ya Maandalizi ya siku ya wanawake Duniani Mkoa wa Dodoma imepanda miti 200 katika kituo cha Afya Mkonze na shule ya msingi Mkonze kwa lengo la kuihamasisha jamii kupanda miti kwa ajili ya kukab...