Imewekwa tarehe: July 16th, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua jana, hafla ya kuapishwa imefanyika leo Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Kuona taari...
Imewekwa tarehe: July 15th, 2020
Jiji la Dodoma limeendelea na mchakato wa usaili kwa walioomba nafasi za kazi kwa kada za Mtunza Kumbukumbu Daraja II na Katibu Mahsusi Daraja III walioshiriki kwenye usaili wa kuandika uliofanyika le...
Imewekwa tarehe: July 14th, 2020
Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Kati yatenga kiasi cha shilingi milioni moja kwa ajili ya kuhudumia miti iliyopandwa Jijini Dodoma katika kampeni ya kukijanisha Dodoma iliyozinduliwa mwaka 20...