Imewekwa tarehe: December 2nd, 2024
Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura lilifanyika kuanzia tarehe 11 mpaka 20 Oktoba, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura 31,282,331 walijiandikisha. Kati yao, wanawake walikuwa 16,045,559 na wanaume walik...
Imewekwa tarehe: December 1st, 2024
Washindi wa nafasi ya Uenyekiti na wajumbe wa Serikali za Mitaa Tarafa ya Hombolo, yenye jumla ya Kata 5, Hombolo Bwawani, Hombolo Makulu, Chahwa, Ipala na Chihanga wakila kiapo cha utii na Uadilifu p...
Imewekwa tarehe: December 1st, 2024
Wenyeviti wa Mitaa na Wajumbe wa Kamati ya Serikali za Mitaa Tarafa ya Kikombo, yenye jumla ya Kata nne, Ihumwa, Mtumba, Kikombo na Ngh'ongh'ona wakila kiapo cha utii na uadilifu pamoja na kiapo cha u...