Imewekwa tarehe: September 29th, 2020
Dondoo kuhusu moyo
Watu milioni 17.9 duniani wanafariki kila mwaka kutokana na magonjwa ya moyo.
Watu wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo wanashauriwa kutumia dawa kama walivyopangiwa na watoa hu...
Imewekwa tarehe: September 28th, 2020
Kichaa cha mbwa (Rabies) ni ugonjwa unaowapata wanyama wote wanyonyeshao (Mbwa, Paka, Binadamu, Ng’ombe, nk)
Ugonjwa huu unasababishwa na kirusi (Rabies Virus), Virusi hawa wanashambulia mfumo wa fa...
Imewekwa tarehe: September 27th, 2020
WATENDAJI wa Kata katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kujipanga kuwahudumia wananchi kwa viwango vya juu katika maeneo wanayoyasimia ili kuleta tija katika utumishi wao na hadhi ya makao m...