Imewekwa tarehe: April 23rd, 2018
Kazi ya uuzaji wa Viwanja 10,684 imeendelea leo Jumatatu Aprili 23, 2018 katika eneo la Ofisi Kuu ya zamani ya Manispaa zilizopo jirani na Sabasaba.
Zoezi hilo lilianza siku ya Ijumaa Aprili 20, 20...
Imewekwa tarehe: April 21st, 2018
HALMASHAURI ya Manispaa ya Dodoma inatarajia kukusanya zaidi ya Shilingi bilioni 67.1 kutoka katika vyanzo vyake vya ndani vya mapato katika mwaka ujao wa Fedha.
Kati ya Fedha hizo, zaidi ya Shilin...
Imewekwa tarehe: April 16th, 2018
Halmshauri ya Manispaa ya Dodoma inatarajia kuuza Viwanja 10,864 kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo Makazi, Biashara, Makazi na Biashara, Taasisi na Viwanda.
Akiongea na Waandishi wa Ha...