Imewekwa tarehe: January 4th, 2021
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimba ametoa siku 60 kwa mkandarasi SUMA-JKT kukamilisha ujenzi wa tenki la maji la Buigiri – Chamwino litakalogharimu kiasi cha shilingi milioni...
Imewekwa tarehe: January 3rd, 2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital) na kuwafariji majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jan...
Imewekwa tarehe: January 3rd, 2021
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kutokea kwa ajali ya treni maeneo ya Kigwe - Bahi umbali wa kilometa 58 kutokea Dodoma mjini. Treni hiyo ilikuwa imetokea jijini Dar es Salaam ikielekea miko...