Imewekwa tarehe: November 6th, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, John Kayombo ameipongeza timu ya watumishi wa jiji hilo iliyoshiki michezo ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa (Shimise...
Imewekwa tarehe: November 1st, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
RAIS, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 4.5 kwa ajili ya kulipa fidia wananchi 469 wa maeneo mbalimbali katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Kauli hiyo ...
Imewekwa tarehe: November 1st, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
SERIKALI imetoa shilingi bilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Dodoma kwa lengo la kuboresha huduma za afya na kuzisogeza huduma hizo karibu zaidi na ...