Imewekwa tarehe: August 9th, 2021
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
CHAMA cha Mapinduzi Wilaya ya Dodoma kimepongeza ushirikiano mzuri kati yake na serikali katika utekelezaji wa Ilani na utatuzi wa kero za wananchi.
Pongezi hizo zilito...
Imewekwa tarehe: August 9th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma Agosti 8, 2021 akitokea Jijini Dar es Salaam alikofanya shughuli mbalimbali za kitaifa ....
Imewekwa tarehe: August 7th, 2021
Na. Sifa Stanley, DODOMA
MGANGA Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dkt. Andrew Method amewaondoa hofu wanawake wajawazito kuwa chanjo ya UVIKO-19 inayotolewa sasa nchini haina madhara kwao.
...