Imewekwa tarehe: July 6th, 2020
Mheshimiwa Anthony Mavunde ameongoza wananchi wa Nkulabi, Kata ya Mpunguzi kuanza ujenzi wa Shule ya Sekondari Nkulabi katika kutatua changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kutoka Nkulabi mpaka...
Imewekwa tarehe: July 4th, 2020
Timu ya Dodoma Jiji FC inayoongoza ligi daraja la kwanza kundi A leo imeonesha dhamira yake ya kupanda daraja ili kucheza Ligi Kuu Tanzania bara baada ya kuisambaratisha timu ya Mbeya Kwanza kwa jumla...
Imewekwa tarehe: July 2nd, 2020
Mbunge wa Dodoma Mjini mhe. Anthony Mavunde ametimiza ahadi yake ya kufikisha nishati ya umeme katika Zahanati ya Nkulabi Kata ya Mpunguzi na hivyo kusaidia upatikanaji wa huduma ya afya kwa saa 24 ka...