Imewekwa tarehe: March 26th, 2024
Na. Dennis Gondwe, MKONZE
RAIS, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha shilingi 544,225,626 kujenga Shule mpya ya Sekondari Michese ili kupunguza msongamano katika Shule ya Sekondari Mkonze na kuwap...
Imewekwa tarehe: March 25th, 2024
MKOA wa Dodoma umefanya Mkutano wa wadau wa Elimu ikiwa ni kilele cha Juma hilo lililozinduliwa rasmi Machi 19. Mkutano huo umehudhuriwa na mgeni rasmi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tan...
Imewekwa tarehe: March 24th, 2024
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa alisema kuwa Sekta ya elimu ni wakala wa mabadiliko katika jamii kiuchumi, kiteknolojia na kiutamaduni katika kuleta maendeleo ya nchi.
Amesema hayo wakati wa mkutano w...