Imewekwa tarehe: May 25th, 2018
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeongeza muda wa kulipia Viwanja kwa wateja wake wote walionunua Viwanja kuanzia Aprili 20, mwaka huu kutoka siku 30 yaani Mwezi mmoja hadi siku 90 yaani miezi mitatu.
...
Imewekwa tarehe: May 24th, 2018
ZOEZI la utoaji wa chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa Wanawake limezinduliwa rasmi katika Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma huku wasichana waliopatiwa chanjo hiyo wak...
Imewekwa tarehe: May 22nd, 2018
NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola ameipongeza Halmashauri ya Manispaa Dodoma kwa ujenzi wa Dampo la kisasa la kuhifadhia taka kwa teknolojia ya kuzizika ardhini ...