Imewekwa tarehe: January 13th, 2021
UJENZI wa barabara za kiwango cha lami katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma wenye gharama ya bilioni 88.1 zikiwa na urefu wa kilomita 51.2 umefikia asilimia 56 na unatarajiwa kukamilika mwezi J...
Imewekwa tarehe: January 9th, 2021
WATUMISHI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kupanda miti 10 kila wiki ikiwa ni utekelezaji wa kampeni ya kukijanisha Dodoma na kulifanya Jiji la Dodoma kuwa na hali nzuri ya hewa na mazingir...
Imewekwa tarehe: January 9th, 2021
MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe amemuagiza meneja wa Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma kuweka utaratibu mzuri kwa wajasiriamali kufanya shughuli zao kituoni hapo.
A...