Imewekwa tarehe: October 30th, 2022
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt, Doroth Gwajima amesema mashindano ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaidia kuitangaza Tanzania duniani
Gwajima ametoa kau...
Imewekwa tarehe: October 30th, 2022
NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameweka wazi kuwa, agizo alilotoa Rais Samia kwa Wakuu wa Mikoa juu ya kusimamia suala la kuboresha lishe bora ni agizo la viongozi wote.
Dkt. Mollel amesema...
Imewekwa tarehe: October 29th, 2022
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako ametoa rai kwa mashirka ya Umma na Binafsi kuendeleza utaratibu wa kuwawezesha vijana wajasiliam...