Imewekwa tarehe: November 12th, 2020
Rais wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings amefariki dunia Jijini Accra akiwa na umri wa miaka 73 .
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Rais wa sasa Nana Akufo-Addo, ambapo wiki iliyopita Rawlings...
Imewekwa tarehe: November 12th, 2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi amewasiri jijini Dodoma tayari kuhudhuria ufunguzi rasmi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo kesho.
Rais ...
Imewekwa tarehe: November 12th, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amempendekeza Mbunge wa Ruangwa Mhe. Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa kipindi cha pili cha Serikali ya awamu ya tano mbele ...