Imewekwa tarehe: October 5th, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
WILAYA ya Dodoma ilikusanya mapato ya shilingi 44,454,939,022 kupitia mifumo ya kieletroniki na kutekeleza miradi ya maendeleo katika mwaka wa fedha 2022/2023.
Taarifa ...
Imewekwa tarehe: October 4th, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
WILAYA ya Dodoma ilizalisha tani 48,413 za mazao ya chakula na biashara katika msimu wa kilimo wa mwaka 2022/2023 ukiifanya hali ya chakula kuwa ya wastani.
Taari...
Imewekwa tarehe: October 4th, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
WILAYA ya Dodoma ilipokea shilingi 9,539,477,529 kwa ajili ya maendeleo zilizotumika kujenga miundombinu ya elimu msingi na sekondari na kuchangia katika ukuaji sekta hiyo...