Imewekwa tarehe: January 14th, 2020
TAASISI mbalimbali na watu binafsi, wameonesha nia ya kumsaidia mwanafunzi, Yonana Lugedenga pamoja na familia yake, kumwezesha aendelee na masomo yake, baada ya kufaulu kwa kiwango cha daraja la kwan...
Imewekwa tarehe: January 13th, 2020
SERIKALI imezungumzia kupanda kwa bei ya vyakula nchini hususani nafaka. Imesema hali hiyo imetokana na serikali kuondoa ukiritimba, kwa kuruhusu ushindani katika uuzaji mazao ya kilimo.
Hata hivyo...
Imewekwa tarehe: January 12th, 2020
MWANAFUNZI Luck Magashi wa Shule ya Wasichana ya Huruma iliyopo Jijini Dodoma ameingia kwenye orodha ya wanafuzi 10 bora waliofanya vizuri katika mtihani wa kumaliza kidato cha nne mwaka 2019.
Bara...