Imewekwa tarehe: January 28th, 2022
WAKATI ligi kuu ya NBC Tanzania Bara ikisalia michezo miwili kuanza mzunguko wa pili, timu ya Dodoma Jiji FC inayomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma ipo katika nafasi ya 8 kama jedwali la msima...
Imewekwa tarehe: January 27th, 2022
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Sheria inayotarajia kufika tamati Februari Mosi mwaka 2022 ...
Imewekwa tarehe: January 27th, 2022
HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imesema kuwa inatarajia kulivunja na kulijenga upya soko la Sabasaba ili kulifanya la kisasa zaidi na lenye hadhi ya Makao Makuu ya Nchi.
Mkurugenzi wa Jiji hilo Josep...