Imewekwa tarehe: February 3rd, 2020
Afisa Afya wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Abdallah Mahia amewataka wananchi kuzingatia kanuni za afya kwa waandaji wa vyakula majumbani na hata wauzaji wa vyakula na vinywaji, kuzingatia matu...
Imewekwa tarehe: February 3rd, 2020
Taasisi isiyo ya kiserikali ya Tanzania Girl Guide Association imezindua mpango wa kuhamasisha Lishe kwa vijana wa kike wenye umri wa kuanzia miaka Kumi mpaka 25 Jijini Dodoma, baada ya tafiti kuonesh...
Imewekwa tarehe: February 1st, 2020
Serikali imeuagiza uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuhakikisha Baraza la Biashara la Wilaya linakutana na kutatua changamoto za wafanyabiashara kwa mujibu wa taratibu.
Kauli hiyo imetolewa...