Imewekwa tarehe: April 12th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifika kumsalimia Rais Samia Nyumbani k...
Imewekwa tarehe: April 10th, 2021
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kutoa fedha za kugharamia mradi wa kufua umeme k...
Imewekwa tarehe: April 10th, 2021
TIMU ya Dodoma Jiji imeibuka kidedea katika mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2020/2021 baada ya kuwachapa ‘Wajelajela’ wa Tanzania Prisons kwa bao moja kwa sifuri bao lili...