Imewekwa tarehe: May 20th, 2019
WADAU wa Nyuki wameshauriwa kufungua duka la mazao ya Nyuki Jijini Dodoma ili kuongeza wigo wa kujitangaza na urahisi wa upatikanaji wa asali.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri...
Imewekwa tarehe: May 10th, 2019
CHANGAMOTO ya upatikanaji wa maji safi katika Kata ya Hombolo nje kidogo ya Jiji la Dodoma inatarajiwa kuwa historia baada ya Halmashauri ya Jiji hilo kusaini mkataba wa mradi wa matengenezo ya miundo...
Imewekwa tarehe: May 9th, 2019
OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imesema itaendelea kutoa ushirikiano kwa mamlaka za Serikali za mitaa ili ziweze kutekeleza majukumu yake ya kuwaletea maendeleo Wananchi.
Kauli h...