Imewekwa tarehe: July 19th, 2024
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amezindua Kliniki ya Matibabu ya Kibingwa yanayotolewa na Madktari
walio chini ya Kanisa la Seventh day Adventist Movement (Wasabato) katika viwanja v...
Imewekwa tarehe: July 18th, 2024
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amefanya hafla fupi ya kukabidhi Magari kwa Wakuu wa Wilaya za Chemba, Kondoa na Mpwapwa leo Julai 18, 2024 hafla iliyofanyika katika Ofisi yake iliyopo ...
Imewekwa tarehe: July 17th, 2024
Na. Fransisca Mselemu, DODOMA
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imetoa mafunzo ya matumizi ya mfumo wa manunuzi wa kieletroniki (NeST) kwa lengo la kukuza uelewa kwa watumishi wa kada mbalimbali ikiwa ...