Imewekwa tarehe: December 6th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekabidhi Tuzo ya Heshima ya Utatuzi wa Migogoro, Demokrasia na Haki za Binadamu kwa Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim (aliy...
Imewekwa tarehe: December 6th, 2021
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali za nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zitaendelea kuchukua hatua za makusudi za kukuza michezo ndani ya jumuiya hiyo.
Amesema kuwa hivi...
Imewekwa tarehe: December 5th, 2021
MKUTANO wa wafanyabiashara na wawekezaji kati ya Tanzania na Misri umefanyika katika hoteli ya Hyatt Regency leo tarehe 05 Desemba, 2021 kwa lengo la kuwakutanisha wafanyabiashara na wawekezaji ...