Imewekwa tarehe: March 28th, 2025
Na. Nancy Kivuyo, MATUMBULU
Vijana wa Kata ya Matumbulu wameendelea kunufaika na fursa za mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa vikundi vya wanawake, vijana n...
Imewekwa tarehe: March 27th, 2025
Na. Nancy Kivuyo, MATUMBULU
Shilingi 360,746,830 zimetumika kuboresha tanki la maji la lita 90,000 na kuweza kuwahudumia wakazi wa mitaa ya Kata ya Matumbulu huduma ya maji kwa saa 24.
Akizungum...
Imewekwa tarehe: March 26th, 2025
Na, Nancy Kivuyo MATUMBULU
SERIKALI ya awamu ya sita inalenga kuboresha mazingira bora ya kufanyia kazi kwa wafanyakazi wa serikali ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kujenga na kuboresh...