Imewekwa tarehe: February 19th, 2020
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma inaendelea kuondoa kero ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kwenda shule, kwa kujenga miundombinu ya elimu. Mojawapo ni katika shule shikizi ya Chiwondo iliyopo kata ya Na...
Imewekwa tarehe: February 17th, 2020
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanya kikao na wadau wa elimu kwa lengo kuweka mipango ya kupandisha kiwango cha ufaulu hadi kufikia nafasi ya kwanza kitaifa na kulinda hadhi ya makao makuu ya nchi.
...
Imewekwa tarehe: February 15th, 2020
Timu ya madaktari bingwa wa hospitali ya Benjamin Mkapa kutoka Dodoma, inatarajiwa kutoa huduma za kibingwa za magonjwa ya njia ya mkojo, pua, koo na masikio ikiwemo watoto na mifupa katika hospitali ...