Imewekwa tarehe: April 24th, 2021
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameitaka TANESCO pamoja na Mkandarasi wa Mradi wa Ujazilizi (Densification) Kampuni ya Derm Electrics kuongeza kasi ya usambazaji wa huduma ya nish...
Imewekwa tarehe: April 24th, 2021
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imewataka maafisa watendaji kata kujiamini na kuhakikisha lengo la ukusanyaji wa mapato ya halmashauri linafikiwa ili serikali iweze kutoa huduma bora kwa wananchi wake.
...
Imewekwa tarehe: April 24th, 2021
WAFANYABIASHARA jijini Dodoma wametakiwa kufanya biashara zao kwa kuzingatia masharti ya leseni zao ili kuepuka migongano isiyo ya lazima na mamlaka na kulinda hadhi ya Makao Makuu ya Nchi.
Kauli h...