Imewekwa tarehe: January 2nd, 2020
DENI la serikali ni himilivu, japokuwa hadi Novemba 30, 2019 limefikia Sh trilioni 54.84 sawa na ongezeko la asilimia 11.7 ikilinganishwa na Sh trilioni 49.08, Novemba 2018, imeelezwa.
Akizungumza ...
Imewekwa tarehe: January 2nd, 2020
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema miradi yote ya ujenzi wa miundombinu ya shule, ikamilike mapema. Amesema kama kuna watendaji walioko likizo warudi, kwani serikali inataka wanafunzi wote waanze ma...
Imewekwa tarehe: December 29th, 2019
Faru mweusi anayeaminika kuwa mkongwe zaidi duniani amekufa nchini Tanzania akiwa na umri wa miaka 57, kulingana na mamlaka ya Ngorongoro ambapo mnyama huyo alikuwa akiishi.
Faru huyo jike, anayeit...