Imewekwa tarehe: October 6th, 2021
MFUKO wa Afya ya Jamii iliyoboreshwa (CHF) ni mkombozi wa wananchi wa Mtaa wa Kawawa, Kata ya Mbalawala kwa sababu unawahakikishia uhakika wa matibabu wanapougua.
Kauli hiyo ilitolewa na mwakilishi...
Imewekwa tarehe: October 6th, 2021
UONGOZI wa Zahanati ya Nala umetakiwa kujipanga kuwatembelea wananchi katika maeneo yao na kuwaelimisha ili waweze kuchanja chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19 unaosababishwa na virusi vya Korona.
...
Imewekwa tarehe: October 6th, 2021
MBUNGE Jimbo la Dodoma Mjini, Mhe. Anthony Mavunde amekabidhi matofali 5,000 yenye thamani ya shilingi milioni nane kwa uongozi wa Kata ya Mpunguzi Jijini Dodoma sambamba na saruji mifuko 100 kwa ajil...