Imewekwa tarehe: December 4th, 2017
HALMASHAURI ya Manispaa ya Dodoma imeajiri askari wa Mgambo 30 watakaokuwa wanafanya doria katika viunga vya Mji ili kudhibiti watu wanaochafua mazingira kwa kutupa taka ovyo ikiwa ni namna mojawapo y...
Imewekwa tarehe: November 28th, 2017
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dokta Binilith Mahenge amewataka watumishi na viongozi wa Halmashauri Mkoani humo kuhakikisha wanayapa kipaumbele mambo matano ikiwemo kudumisha hali ya Ulinzi na Usalama ...