Imewekwa tarehe: September 11th, 2019
Bunge jana lilikubali kuunda mbuga tatu za kitaifa, na kufanya idadi ya mbuga nchini kufikia 24 ambayo ni idadi ya juu zaidi barani Afrika.
Akizungumza baada ya kuidhinishwa kwa mpango huo, Waziri ...
Imewekwa tarehe: September 10th, 2019
JUMLA ya wanafunzi watahiniwa 10,666 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma na wote wakitarajiwa kufaulu mtihani huo.
Kauli hiyo iliyolewa na ...
Imewekwa tarehe: September 9th, 2019
SHULE ya msingi Chihoni imetakiwa kuwekeza katika michezo ili kuibua vipaji, kuchochea ufaulu na kuondoa utoro kwa wananfunzi.
Kauli hiyo ilitolewa na mgeni rasmi katika mahafali ya darasa la saba ...