Imewekwa tarehe: February 21st, 2022
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imetenga Shilingi bilioni saba katika mwaka wa fedha 2022/23 kwa ajili ya kujenga Jengo la Ofisi Kuu ya Jiji inayolingana na hadhi ya Makao makuu ya Serikali.
Jiji lim...
Imewekwa tarehe: February 18th, 2022
HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma imepata tuzo ya kutibu wagonjwa wa mifupa waliovunjika kwa kutumia vyuma va kisasa (SIGN NAIL) kwa mwaka 2021.
Tuzo hiyo imetolewa na Mtandao wa watengeneza vyu...
Imewekwa tarehe: February 18th, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ubelgiji Mhe. Alexander De Croo, Brussels nchini Ubelgiji jana tarehe 17 Februari, 20...