Imewekwa tarehe: October 13th, 2019
Serikali imeongeza siku tatu (3) kwenye zoezi la Wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Orodha ya Wapiga kura lililokuwa lifikie tamati tarehe 14 Oktoba 2019. Kwa ongezeko hilo sasa zoezi hilo litaf...
Imewekwa tarehe: October 12th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli leo tarehe 12 Oktoba,2019 wamejiandikisha katika Daftari la Orodha ya Wapiga kura katika Kituo cha ...
Imewekwa tarehe: October 11th, 2019
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge amewataka wananchi mkoani hapa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika vituo vya uandikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi wa Serikali ...