Imewekwa tarehe: April 1st, 2024
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imetengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji na kuwavutia wenye viwanda kuwekeza Halmashauri ya Jiji...
Imewekwa tarehe: March 30th, 2024
RAIS Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameiasa jamii kuona umuhimu wa kuwatunza na kuwathamini wazazi wao katika kipindi cha uhai wao.
Kikwete aliyasema hayo wakati akitoa salaam za rambi...
Imewekwa tarehe: March 29th, 2024
Na. OR-TAMISEMI, Dodoma
NAIBU WAZIRI wa Afya Dkt. Godwin Moleli amezitaka Mamlaka za Serikali ngazi ya Wizara, Mikoa, Halmashauri na Taasisi zinazohusika na Sekta ya Afya kutokuwa kikwazo ili...