Imewekwa tarehe: December 23rd, 2019
UTEKELEZAJI wa miradi ya kimkakati katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma umefikia asilimia 85 wakati ikitarajiwa kukamilika na kukabidhiwa tarehe 15 Februari, 2020.
Kauli hiyo imetolewa na mratibu w...
Imewekwa tarehe: December 17th, 2019
WAJASIRIAMALI jijini Dodoma wametakiwa kutumia fursa ya mikopo wanayoipata katika kuendeleza miradi yao ipasavyo sambamba na shughuli wanazotumia katika kuomba fedha hizo.
Wito huo umetolewa ...
Imewekwa tarehe: December 16th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imefanikiwa kusajili wananchama 258 katika siku yake ya pili ya zoezi maalum la uhamasishaji wananchi kujiunga na Bima ya Afya iliyoboreshwa CHF.
Akitoa taarifa ya zoe...