Imewekwa tarehe: September 29th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 29 Septemba, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair, Ikulu Chamwino mkoa...
Imewekwa tarehe: September 29th, 2021
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro amewataka Watumishi wa Umma nchini kuutumikia umma kwa uzalendo, uadilifu na weledi ili kutimiza azma ya Serikali ya k...
Imewekwa tarehe: September 28th, 2021
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefikisha huduma ya uuzaji wa viwanja kwenye viunga vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma mahali kunakofanyika Mkutano Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa ALAT Taifa ...