Imewekwa tarehe: April 14th, 2021
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Anthony Mavunde, amekabidhi madawati 590 kwa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma ili kuchangia mazingira bora ya kujifunzia kwa wanafunzi na kuongeza ...
Imewekwa tarehe: April 13th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 13 Aprili, 2021 amerejea Jijini Dodoma akitokea Dar es Salaam.
Aidha, katika uwanja wa ndege Mhe. Rais alipokewa na Mkuu ...
Imewekwa tarehe: April 13th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni juzi tarehe 11 Aprili, 2021 wameshuhudia utiaji waini wa mikataba ya utekelez...