Imewekwa tarehe: December 7th, 2019
Katika hali ya kuwapongeza na kuwapa motisha ya kufanya vizuri zaidi katika kuinua kiwango cha Elimu Jimbo la Dodoma Mjini, Mbunge Mhe. Anthony Mavunde ametimiza ahadi yake kwa walimu wa Shule ya Msin...
Imewekwa tarehe: December 6th, 2019
Zoezi la kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura limeanza rasmi leo tarehe 6/12/2019 katika Jimbo la Dodoma mjini. Zoezi hili litaendelea kwa muda wa siku 7 kila siku kuanzia saa 2 kamili asubuhi h...
Imewekwa tarehe: December 6th, 2019
Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi wa Jiji la Dodoma Joseph Mabeyo, ametangaza kuwa orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2020 kutoka katika shule za Halmashauri ya Jiji...