Imewekwa tarehe: November 23rd, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli amelikabidhi Jeshi la Polisi jengo ili kufanya Makao Mkuu yake jijini Dodoma juna Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo hilo ...
Imewekwa tarehe: November 23rd, 2019
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewapa wiki moja mabalozi aliowateua na kuwaapisha leo, wawe wamewasili vituo vyao vya kazi katika nchi wanazowakilisha na kuchapa kazi.
...
Imewekwa tarehe: November 22nd, 2019
WAZIRI mkuu mstaafu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda amepongeza kazi nzuri ya maendeleo iliyofanywa na Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli katika Jiji la Dodoma.
Ponge...